Taswira mbalimbali za maelfu kwananchi wa Zanzibar wakiwa wamejipanga
njia nzima toka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Karume hadi Uwanja wa
Amaan kiasi cha kilomita 7 kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli ambye ameagwa rasmi visiwani leo Machi 23,
2021