Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi kushoto akiongozana na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa wakati alipotembelea na kukagua miradi ya nyumba za shirika hilo zilizopo Gezaulole Kigamboni na magomeni jijini Dar es salaam leo. Mh, Ndejembi ameagiza shirika hilo kuhakikisha linajenga miradi yake kwa kutumia utaratibu wa Force Account ambao umeleta manufaa katika miradi mingi sana ya srikali kuliko kutumia wakandarasi.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi kushoto akiongozana na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa wakati alipotembelea na kukagua miradi wa nyumba za shirika hilo zilizopo Gezaulole Kigamboni na magomeni jijini Dar es salaam leo kulia ni Sephania Solomon Mkurugenzi wa Uendeshaji WHC.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua miradi hiyo leo.
Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akifafanua jambo mara baada ya Naibu Waziri Ndejembi kukagua miradi ya shirika hilo jijini Dar es salaam leo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi akitoa maagizo kwa Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa na Sephania Solomon Mkurugenzi wa Uendeshaji WHC wakati akikagua miradihiyo ya nyumba leo iliyopo Magomeni na Gezaulole Kigamboni.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi akizungumza na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa wakati akikagua miradi ya nyumba hizo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi akimsikiliza Sephania Solomon Mkurugenzi wa Uendeshaji WHC wakatiakikagua miradi hiyo leo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi akizungumza na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi akiongozana na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa wakati akikagua miradi hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Watumishi Housing Company wakiwa katika ziara hiyo ya Naibu Wazri Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius John Ndejembi.
Baadhi ya nyumba ambazo zimejengwa katika miradi hiyo.