Meli ya Mv Mbeya II ikiwa katika Bandari ya Mbamba bay  leo, na Wananchi Wa Wilaya ya Nyasa wakifurahia kwa kufanya Utalii katika Meli hiyo.