Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi baada ya kuhutubia mkutano wake wa kampeni kwa wananchi wa
majimbo ya Temeke na Kigamboni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 9, 2020.
(PICHA IKULU NA JOHN BUKUKU-DAR ES SALAAM)
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi baada ya kuhutubia mkutano wake wa kampeni kwa wananchi wa
majimbo ya Temeke na Kigamboni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 9, 2020.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akikuhutubia mkutano wake wa kampeni kwa wananchi wa majimbo ya Temeke na Kigamboni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 9, 2020.
Wakuu wa wilaya ya Ubungo, Kinondoni, Kigamboni na baadhi ya viongozi wa mashirika wakiwa katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Taifa uliofanyika Ijumaa Oktoba 09,2020 jijini Dar es salaam.
Jua halikuwa kipingamizi kwa wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Uhuru ii kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam.
Maelefu ya wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ilikusikiliza mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Rais Dk John Pombe Magufuli
Dj Rommy Jons wa mwanamuziki Diamondplatnamza kwenye mashine akiwajibika wakati mwanamuziki huyo akitumbuiza jukwaani katika mkutano wa mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Ijumaa 09,2020.
Mwanamuziki Diamond Platnamz akiwajibika jukwaani pamoja na kundi lake.
Mwanamuziki Diamond Platnamz akiwajibika jukwaani pamoja na kundi lake kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa Ijumaa Oktoba 09,2020 jijiniDar es salaam.
Wanamuziki Ndugu Ali Kiba kulia pamoja na Abdu Kiba wakitumbuiza kwenye mkutano huo.