Home Siasa WANANCHI WA KILANDO NKASI KASKAZINI WAKUSANYIKA KUMSIKILIZA MHE. SAMIA SULUHU

WANANCHI WA KILANDO NKASI KASKAZINI WAKUSANYIKA KUMSIKILIZA MHE. SAMIA SULUHU

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Katongolo Nkasi  alipokuwa njiani akielekea  Kilando Nkasi Kaskazini kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Oktoba 10,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa  ajili ya kuomba kura kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilando Nkasi Kaskazini katika Uwanja wa Polisi Nkasi Mkoani Rukwa leo Octoba 10,2020.kulia Ni Mbunge mteule wa CCM Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Ally Kessi, kushoto ni Mwenyekiti  Jumuiya ya Wazazi Taifa Mhe. Edmund Mndolwa.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilando Nkasi Kaskazini  alipowasili katika Uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Oktoba 10,2020.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kilango Nkasi Kaskazini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Polisi Kilando Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa leo Oktoba 10,2020.