Mratibu wa zao la Korosho Kitaifa, Dkt. .Geradina Mzena akizungumza wakati wa hafla ya kufungua mafunzo ya Kilimo Bora
cha Korosho kwa kwa Maafisa Ugani na Wakulima wa Wilaya ya Iramba jana.
Mratibu wa zao la Korosho Kitaifa, Dkt. Geradina Mzena
akisisitiza faida za kulima zao hilo alipokutana na wakulima na maafisa ugani
wa Wilaya ya Iramba jana, kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya hiyo Emmanuel
Luhahula (wa pili kushoto) kufungua mafunzo ya Kilimo Bora cha Korosho. Wengine
pichani ni DAICO Iramba, Marietha Kasongo na DAICO Mkalama, Seleman Musunga.
Mafunzo
ya Agronomia ya Korosho yakiendelea.
kupata mavuno yenye tija yakifanyika.
Mafunzo ya Upimaji Shamba la Korosho kwa vipimo stahiki ili
kupata mavuno yenye tija yakifanyika.
Mafunzo
yakiendelea.
Afisa
Kilimo Wilaya ya Iramba, Marietha Kasongo (aliyechuchumaa) akiweka alama
kuhakikisha mstari.
Mafunzo
ya namna bora ya kupogolea mkorosho.