Home Michezo RAIS DKT.SHEIN AZINDUA KITABU CHA KOCHA BORA

RAIS DKT.SHEIN AZINDUA KITABU CHA KOCHA BORA

0

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu  kiitwacho “Mwalimu Bora wa Soka”uliofanyika leo

Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha   “Mwalimu Bora wa Soka”   uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu  “Mwalimu Bora wa Soka”   uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake  kwa wananchi na wanamichezo   hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha  “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akinyanyua kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” baada ya kukizindua rasmi leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ambacho kimeandikwa na  Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha   Gulam Abdalla

Baadhi ya Wanamichezo wa zamani waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichizonduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ,ambapo kiliichoandikwa na  Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania  Kocha  Gulam Abdalla,

Wanamichezo na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,

Mkalimani wa Lugha za Alama akisomea watu wenye tatizo Uziwi katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na  Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania  Kocha  Gulam Abdalla,

Makocha mbali mbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na  Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania  Kocha  Gulam Abdalla,[Picha na Ikulu