Home Mchanganyiko MISS KOROSHO ANAYETAMANI KUWA MREMBO WA DUNIA

MISS KOROSHO ANAYETAMANI KUWA MREMBO WA DUNIA

0

Martha Petro akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Kombe la ushindi wa Mashindano ya Miss Korosho yaliyofanyika wakati wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima  kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni jijini Dodoma Agosti 2020. Kombe hilo alikabidhiwa siku ya kilele cha maonesho hayo Agosti 8, 2020.
 

Katika Clip hii ya Video, Miss Korosho anaelezea historia ya maisha yake, jinsi alivyoshiriki  kwa mara ya kwanza mashindano hayo  na matarajio yake ya baadaye.

Kwa heshima Martha  mtoto wa kisukuma akipokea kwa heshima na unyenyekevu Kombe la Miss Korosho kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Nchimbi.

Martha akiwa na furaha mara baada ya kupokea kombe la ushindi.

 
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM