Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 2-1 SHEFFIELD UNITED LIGI YA UINGEREZA

ARSENAL YAICHAPA 2-1 SHEFFIELD UNITED LIGI YA UINGEREZA

0

Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akimpongeza Nicolas Pepe baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 64, kufuatia Bukayo Saka kufunga la kwanza dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United ambayo bao lake lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 83 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London leo PICHA ZAIDI SOMA HAPA