Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akimpongeza Nicolas Pepe baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 64, kufuatia Bukayo Saka kufunga la kwanza dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United ambayo bao lake lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 83 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London leo PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAICHAPA 2-1 SHEFFIELD UNITED LIGI YA UINGEREZA
By Alex Sonna
October 4, 2020 | 6:53 pm

Related Stories
View all
Michezo
3 hours ago
RC CHALAMILA VIWANGO MARATHON NJIA MADHUBUTI YA KUFIKISHA ELIMU KWA UMMA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amefurahishwa na kupongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuandaa Viwango Marathon kama sehemu…
Michezo
20 hours ago
MAKONDA: TUTAZIFANYA MBIO ZA SIKU YA AFRIKA KUWA ZA KIMATAIFA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema Serikali inafikiria kuzifanya Mbio za Siku ya Afrika kuwa za Kimataifa ili kufanikisha…
