Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye akihutubia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020 kwa ziara ya kikazi ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye akihutubia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye wakielekea eneo maalum kwa ajili ya kupigiwa mizinga 21 na jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)kikiwa tayari kwa gwaride la heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye akielekea kukagua gwaride maalum wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye akikagua gwaride la wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli wakiangalia ngoma za asili alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye wakielekea jukwaani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh.Evariste Ndayishimiye wakiwa wameketi jukwaani wakati alipowasili kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Leo Jumamosi Septemba 19, 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-KIGOMA)