Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akiwa ameinua Kombe la FA baada ya kuiongoza Arsenal kubeba hilo kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Uwanja wa Wembley Jijini London usiku wa leo. Chelsea walitangulia kwa bao Christian Pulisic dakika ya tano kabla ya Aubameyang kusawazisha kwa penalti dakika ya 28 na kufunga la ushindi dakika ya 67 kuipa The Gunners taji la 14 la FA akiwa amevaa jezi namba 14 mgongoni. Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Mateo Kovacic kutolewa kwa kadi nyekundu na refa Anthony Taylor kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 72 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YATWAA KOMBE LA FA BAADA YA KUTOKA NYUMA NA KUICHAPA 2-1 CHELSEA
By Alex Sonna
August 2, 2020 | 3:21 am

Related Stories
View all
Michezo
13 hours ago
MALIASILI YAWATOA JASHO WAZEE SHIMIWI 2026
.Na Sixmund Begashe, Moshi WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Club yake ya Michezo, imeendelea kuwa gumzo kwenye Michezo ya SHIMIWI 2026 baada ya…
Michezo
2 days ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
