Wachezaji wa Napoli wakisherehekea na taji la Coppa Italia baada ya ushindi wa penalti 4-2 kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Juventus usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimpico Jijini Roma kufuatia sare ya 0-0.
Paulo Dybala na Danilo walikosa penalti kwa upande wa Juve, wakati Napoli walifunga penalti zao zote nne za mwanzo kumpa kocha Gennaro Gattuso taji la kwanza baada ya kuwa kocha wa timu hiyo PICHA ZAIDI SOMA HAPA