Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 45 na ushei kabla ya Kevin De Bruyne kufunga la pili dakika ya 51 kwa penalti na Phil Foden kufunga la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
MAN CITY YAICHAPA 3-0 ARSENAL UWANJA WA ETIHAD
By Alex Sonna
June 18, 2020 | 4:17 am

Related Stories
View all
Michezo
3 hours ago
MASHUJAA KUISIMAMISHA SIMBA SC LEO ?
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne yenye ushindani mkubwa, huku vita ya kusaka pointi tatu…
Michezo
17 hours ago
DODOMA JIJI YAVURUGA HESABU ZA YANGA MBIO UBINGWA
Kikosi cha Dodoma Jiji FC kimeibuka na ushindi mkubwa wa mabao 3-2 dhidi ya mabingwa watetezi Young Africans SC katika mchezo wa Ligi Kuu…
