Meneja mauzo wa Vodacom Njombe, Benedict KItogwa (kulia) akimkabidhi mshindi wa wiki wa bahati nasibu ya Tusua mapene na Vodacom, Vitus Gama mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.