Home Michezo MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA SC KUELEKEA MPAMBANO WA KESHO DHIDI...

MO DEWJI AKUTANA NA WACHEZAJI SIMBA SC KUELEKEA MPAMBANO WA KESHO DHIDI YA YANGA SC UWANJA WA TAIFA

0

Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji akizungumza na wachezaji leo kambini Jijini Dar es Salaam kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya watani wa jadi, Yanga Uwanja wa Taifa

Nahodha wa Simba SC, John Bocco akizungumza kwa niaba ya wachezaji kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga 

Mohamed Dewji aliongozana na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah, Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia alikuwa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori pamoja na Mtendaji Mkuu, Senzo Mazingisa katika ziara hiyo