Home Michezo VIGOGO YANGA SC WALIPOTETA NA WACHEZAJI JANA BAADA YA MAZOEZI KUELEKEA MECHI...

VIGOGO YANGA SC WALIPOTETA NA WACHEZAJI JANA BAADA YA MAZOEZI KUELEKEA MECHI DHIDI YA MAHASIMU, SIMBA KESHO

0

Viongozi wa Yanga SC pamoja na wa Kamati ya Mashindano wakizungumza na wachezaji baada ya mazoezi ya jana kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba, Jumapili, Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam 