Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji akizungumza na wachezaji leo kambini Jijini Dar es Salaam kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya watani wa jadi, Yanga Uwanja wa Taifa
Nahodha wa Simba SC, John Bocco akizungumza kwa niaba ya wachezaji kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga
Mohamed Dewji aliongozana na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah, Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia alikuwa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori pamoja na Mtendaji Mkuu, Senzo Mazingisa katika ziara hiyo