Gabriel Jesus (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 80 ikiilaza Leicester City 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power leo. Sergio Aguero alikosa penalti iliyookolewa na Kasper Schmeichel, wakati Leicester walilalamika kunyimwa penalti mbili PICHA ZAIDI SOMA HAPA