Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika Swala ya Ijumaa Kwenye Msikiti wa Mujahidina eneo Buzebazeba mjini Kigoma, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kushiriki Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Mujahidina, eneo la Buzebazeba mjini Kigoma, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)