Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI...

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MANEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI WANACHAMA WA SADC

0

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu.Mhe.Jenista Mhagama, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika.(SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoka katika ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Madinat Al Bahr mbweni Jijini Zanzibar, baada ya kuufungua mkutano huo, (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi , Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji SADC.Dkt. Stergomena Lawrence Tax.(Picha na Ikulu)

MAWAZIRI Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri wa Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu na Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejiminti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mtendaji wa SADC.Dkt. Stergomena Lawrence Tax, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr,mbweni Jijini Zanzibar  (katikati) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira  na Walemavu.Mhe.Jenista Mhagama.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mawaziri wa Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa ya (SADC ) wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Sadc wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika Jijini Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.(Picha na Ikulu)