Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Mhandisi Stella Manyanya akipata maelezo kutokwa kwa Rachel Agrey Afisa Mwandamizi Huduma kwa wateja wa Bohari ya Dawa MSD wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo mara baada ya kufungua Maonesho ya Nne ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 5 hadi 9 Desemba, 2019 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K.Nyerere wa pili kutokakulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANTRADE Dkt Ng’wanza Kamata na katikati ni Edwin Rutageruka Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE.
Rachel Agrey Afisa Mwandamizi Huduma kwa wateja wa Bohari ya Dawa MSD akitoa maelezo kwa wananchi alipotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Nne ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyoanza tarehe 5 hadi 9 Desemba, 2019 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K.Nyerere