Mdau wa michezo Bw. Henry Tandau akifafanua jambo kwa wadau wa michezo
wakati wa kikao cha wadau hao kutoa maoni ya kuandaa mpango mkakati wa
kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019 katika uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bi. Neema Msitha
akitoa mada wakati wa kikao cha wadau wa michezo kutoa maoni ya kuandaa mpango
mkakati wa kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa michezo wakiwa katika majadiliano wakati wa kikao cha wadau hao
kutoa maoni ya kuandaa mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa michezo wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakati wa kikao cha wadau hao kutoa maoni ya kuandaa mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
(katikati) akisisitiza jambo kwa wadau wa michezo wakati wakati wa kikao cha wadau hao kutoa maoni ya kuandaa mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Leodger Tenga na kulia ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa baraza hilo Bi. Neema Msitha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
(mwenye kofia) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa michezo wakati wa kikao cha wadau hao kutoa maoni ya kuandaa mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Yusuf Singo (kushoto) akitoa neno la
shukrani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe (kulia) wakati wa kikao cha wadau wa michezo kutoa maoni ya kuandaa mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya michezo nchini mapema hii leo Novemba 27, 2019 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Leodger Tenga .
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.