Home Biashara Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna ashiriki katika mdahalo wa...

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna ashiriki katika mdahalo wa jinsia jijini Dar es salaam

0

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna akiongea kwenye mdahalo ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC) kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini. Mdahalo huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ulikutanisha Wakurugenzi kutoka taasisi za Fedha, Wajasiriamali na Jinsia nchini. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya Standard Chartered – Sanjay Rughani na kushoto ni Bi. Hodan Addou kutoja Umoja wa Mataifa.