Home Michezo TAIFA STARS YAPATA SARE UGENINI DHIDI YA RWANDA

TAIFA STARS YAPATA SARE UGENINI DHIDI YA RWANDA

0

Manahodha Erasto Edward Nyoni wa Tanzania (wa pili kulia) na Haruna Hakizimana Niyonzima wa Rwanda (wa pili kushoto) kabla ya mechi baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana usiku wa leo Uwanja wa Amahoro mjini Kigali

Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza jana dhidi ya Amavubi mjini Kigali