Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 64 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BAADA YA KICHAPO TOKA KWA PSG,REAL MADRID YAFUFUKA LA LIGA
By Alex Sonna
September 23, 2019 | 7:50 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
HISTORIA NA MAFANIKIO YA TANZANIA PRISONS SC YAWEKWA WAZI KWA MASHABIKI, JIJINI DODOMA
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Huduma kwa wafungwa (OMS)Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Emmanuel Malisa,…
Michezo
2 days ago
SIMBA SC YAWASHA ‘MOTO’ CRDB FEDERATION CUP
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa kuisaka tiketi ya kufuzu nusu…
