Home Michezo MAN UNITED BADO HALI TETE ENGLAND,YATANDIKWA 2-0 NA WEST HAM UNITED

MAN UNITED BADO HALI TETE ENGLAND,YATANDIKWA 2-0 NA WEST HAM UNITED

0

Aaron Cresswell akishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la pili kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 84 kufuatia Andriy Yarmolenko kufunga la kwanza dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London PICHA ZAIDI SOMA HAPA