Aaron Cresswell akishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la pili kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 84 kufuatia Andriy Yarmolenko kufunga la kwanza dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN UNITED BADO HALI TETE ENGLAND,YATANDIKWA 2-0 NA WEST HAM UNITED
By Alex Sonna
September 22, 2019 | 7:59 pm

Related Stories
View all
Michezo
5 hours ago
HATIMAYE SIMBA YAFIKA FAINALI YA KOMBE LA CRDB BAADA YA KUSUBIRI MIAKA MINNE
Kikosi Cha Wekundu wa Msimbazi Simba kimefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la CRDB kwa kuifunga Coastal Union mabao 4-0, katika mechi ya nusu fainali…
Michezo
9 hours ago
BRAZIL YAICHAPA HAITI 3-0, YAONGOZA KUNDI C
Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, timu ya taifa ya Brazil maarufu kama Seleção, imepata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Haiti…
