Home Michezo LIVERPOOL HAISHIKIKI LIGI KUU ENGLAND,YAICHPA 2-1 CHELSEA PALE PALE DARAJANI

LIVERPOOL HAISHIKIKI LIGI KUU ENGLAND,YAICHPA 2-1 CHELSEA PALE PALE DARAJANI

0

Roberto Firmino (wa pili kulia) akiifungia bao la pili Liverpool dakika ya 30 kufuatia Trent Alexander-Arnold kufunga la kwanza dakika ya 14, kabla ya N’Golo Kante kuifungia Chelsea dakika ya 71 Wekundu hao wakishinda 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI SOMA HAPA