Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akisisitiza akisisitiza jambo wakati akifungua kikao kazi kilichowakutananisha Wenyeviti wa Bodi na Taasisi za Wizara hiyo, Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Bodi na Taasisi kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea, tarehe 17 Septemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Naibu waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe akizungumza wakati wa kikao kazi kilichowakutananisha Wenyeviti wa Bodi na Taasisi za Wizara hiyo, Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Bodi na Taasisi kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea, tarehe 17 Septemba 2019.
Sehemu ya Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Bodi na Taasisi za wizara ya Kilimo wakifatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao kazi kilichoitishwa na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea, tarehe 17 Septemba 2019.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akisisitiza jambo wakati akifungua kikao kazi kilichowakutananisha Wenyeviti wa Bodi na Taasisi za Wizara hiyo, Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Bodi na Taasisi kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea, tarehe 17 Septemba 2019.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhabdisi Mathew Mtigumwe akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo kwa ajili ya kufungua kikao kazi kilichowakutananisha Wenyeviti wa Bodi na Taasisi za Wizara hiyo, Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Bodi na Taasisi kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea, tarehe 17 Septemba 2019.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua
kali za kisheria dhidi ya watumishi wanaobainika endelea kubainika
wakijihusisha na vitendio ovu vya rushwa.

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga ameyasema hayo leo
tarehe 17 Septemba 2019 wakati akifungua kikao kazi kilichowakutananisha Wenyeviti wa Bodi na Taasisi za Wizara hiyo, Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa
Bodi na Taasisi kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma
ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea.

Alisema kuwa serikali inayoongozwa na Mhe Rais Dkt
John Pombe Magufuli imejipambanua kukabiliana na wala rushwa hivyo yeyote
anayebainika hakutakuwa na huruma badala yake atapelekwa mahakamani.

“Wenyeviti na Wakurugenzi msipoisaidia serikali
kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaotoa au kupokea rushwa maana yake na
ninyi ni sehemu yaw ala rushwa na kama sio sehemu lazima tuchukue hatua”

“Nimeyasema haya hadharani sina lengo la kumtishia
mtu yeyote katika hili badala yake nimelisema ili hatua zichukuliwe” Alisisitiza
Mhe Hasunga

Ni lazima kukumbuka kuwa wajibu mkubwa wa watumishi
ni kuhakikisha kuwa dira inafikiwa kwa mujibu wa mkakati uliowekwa.

Mhe Hasunga amesema kuwa wizara ya Kilimo itapimwa
katika ammbo makubwa matano, ambayo ni kuongeza uzalishaji wa chakula na tija
katika kilimo ili kuimarisha usalama wa chakula na lishe.

Jambo la pili ni kwa namna gani wizara imewezesha
upatikanaji wa fedha za kigeni jambo huku jambo la tatu ikiwa ni kupimwa kuwa kilimo
kinakuwa kwa asilimia ngapi na kinachangia kiasi gani kwenye pato la Taifa.

Jambo la nne alilolitaja Mhe Hasunga ni kuhusu
upatikanaji wa malighafi sahihi kwa ajili ya viwanda nchini, huku jambo la tano
ikiwa ni kipimo cha idadi ya ajira zitakazokuwa zinapatikana kwenye sekta ya
kilimo, huku jambo la sita ikiwa ni namna ushirika utakavyokuwa umeimarika
pamoja na usimamizi madhubuti wa ardhi kwa ajili ya kilimo hususani kilimo cha
umwagiliaji.

Mhe Hasunga alisema kuwa endapo maeneo hayo matano
yatafanyiwa kazi ipasavyo ni wazi kuwa serikali kupitia wizara ya kilimo itakuwa
imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kabisa kukibadilisha kilimo kuwa cha kibiashara
na sio cha kujikimu.

Alisema kuwa maendeleo ya Sekta ya Kilimo na Tasnia
ya Ushirika nchini itaimarika baada ya kuzinduliwa mfumo rasmi wa mauzo ya
mazao ya kilimo kupitia Soko la Bidhaa Tanzania (TMX).

TMX ina lengo la kuongeza ufanisi katika juhudi za Serikali za
kurasimisha mifumo ya masoko ambayo imekuwa na changamoto kwa muda mrefu; kwa
kuwaunganisha Wauzaji na Wanunuzi wa bidhaa, kuleta ushindani kwenye bei,
kupunguza gharama za uendeshaji biashara na kuweka uwazi.

Amesema kuwa mbali na soko la bidhaa pia kuzinduliwa kwa Mfumo wa
Kielektoniki wa usajili wa wakulima na mfumo wa kielekroniki wa Kusimamia
Biashara (Agricultural Trade Management Information System – ATMIS) utaimarisha
makusanyo ya maduhuli na tozo kwa kuhakikisha huduma zote za utoaji vibali,
leseni na vyeti unafanyika kielektroniki na pia kudhibiti udanganyifu katika
hati na nyaraka za huduma hizo.