Home Mchanganyiko SERIKALI YA CHINA YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA WIZARA YA UJENZI,...

SERIKALI YA CHINA YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

0

Mkurugenzi Msaidizi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi John Ngowi, akisisitiza jambo katika semina ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara hiyo kuhusu masuala ya ujenzi wa miundombinu inayotolewa na wataalamu kutoka nchini China, jijini Dodoma.

Mtaalamu Kutoka nchini China, Prof. Mingjian Zhu (kulia), akizungumza jambo katika semina ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano kuhusu masuala ya ujenzi wa miundombinu inayotolewa na wataalamu kutoka nchi hiyo, jijini Dodoma.

Mtaalamu kutoka nchini China, Mhandisi Jiang Hao, akiwasilisha mada katika semina ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu masuala ya ujenzi wa miundombinu, jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi rasilimali watu, Steven Mushi, akitoa mwongozo wa semina ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu masuala ya ujenzi wa miundombinu inayotolewa na wataalamu kutoka nchini China, jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi John Ngowi, akipokea zawadi kutoka kwa Prof. Mingjian Zhu (katikati), mara baada ya kufungua semina ya wiki mbili kuhusu masuala ya ujenzi wa miundombinu inayotolewa na wataalamu kutoka nchini China, jijini Dodoma.

Wataalamu kutoka nchini China wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mara baada ya ufunguzi wa semina ya
kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara hiyo jijjini, Dodoma.

PICHA NA WUUM