Gareth Bale (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 86 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Villarreal kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa De la Ceramica. Hata hivyo nyota huyo wa Wales alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 na ushei baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano katika mchezo ambao alifunga pia bao la kwanza la Real huku mabao ya Villarreal yakifungwa na Gerard Moreno dakika ya 12 na Moi Gomez dakika ya 74 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BALE ATUPIA MBILI, APIGWA KADI NYEKUNDU REAL MADRID YABANWA 2-2 NA VILLARREAL
By Alex Sonna
September 2, 2019 | 8:11 am

Related Stories
View all
Michezo
12 hours ago
MEXICO YATINGA HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Mexico imefuzu hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kukusanya pointi 6 kutokana na ushindi…
Michezo
1 day ago
CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la…
