Home Mchanganyiko RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA AONGOZA MHADHARA WA SADC JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA AONGOZA MHADHARA WA SADC JIJINI DAR ES SALAAM

0
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini William Mkapa akihutubia katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini William Mkapa akihutubia katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.

Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally Waziri Mkuu mstaafu Jaji Josepha Warioba, Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mawalimu Julius Nyerere Mzee Joseph Butiku.

 Majaji wastaafu wakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ali (picha ya juu Kulia) waliohudhuri mhadhara wa uliongoongozwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia maendeleo ya nchi za Jumuiya za Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) mapema leo Agosti 15, 2019.

Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stagomena Tax akizungumza katika mhadahara uliokuwa ukielezea historia na jinsi SADC ilivyoweza kusonga mbele, mapema leo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Baadhi ya wagenimbalimbaki kutoka mataifa ya nje wakiwa katika mdahalo huo.
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Dk. Inmi Patterson kushoto akizungumza na mmoja wa washiriki wa mdahalo huo .

 Mabalozi, Mawaziri na viongozi wa nchi mbali mbali waliohudhuria Mhadhara huo.

Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michrezo Dk. Harisson Mwakyembe akizungumza katika mdahalo huo kabla ya kumkaribisha Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa ili kuzungumza.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe aliyemuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi akitoa machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Rais Mstaafu Mkapa.

Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akisalimiana na Katibu  Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue.

Katibu  Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na Mzee Josepha Butiku.

 Salamu za hapa na pale…

Wimbo wa Taifa ukiimbwa…

Wageni waalikwa.

Meza kuu.

Mwana wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Madaraka Nyerere akiwa katika mdahalo huo pia.
Waziri wa Sheria na Katiba Balozi Agustine Mahiga akiwa katika mdahalo huo.