Home Mchanganyiko Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli Akiwa na Mgeni wake Mke wa...

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli Akiwa na Mgeni wake Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa Ikulu jijini Dar es Salaam

0

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa kushoto akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kupokea zawadi ya picha Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU