Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na makamanda wa Polisi hawapo pichani toka mikoa 35 Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi uliopo Polisi Makao Makuu jijini Dar Es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na makamanda wa Polisi toka mikoa 35 baada ya kumaliza kikao cha utendaji kazi. (Picha na Jeshi la Polisi)