Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

NGORONGORO YAZINDUA ZOEZI LA UPIGAJI KURA KUWANIA TUZO YA KIVUTIO BORA CHA UTALII BARANI AFRIKA

Na Mwandishi wetu, Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imezindua zoezi la upigaji kura kuwania tuzo ya kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024 katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Jengo la Ngorongoro Jijini Arusha. Akizindua kampeni hiyo ya upigaji kura kaimu kamishna wa Uhifadhi NCAA Victoria Shayo amesema zoezi hilo litachukua siku 131 kuanzia mwezi huu wa

John Bukuku By John Bukuku

MKURUGENZI WA FURAHA MEDIA AWAOMBA WATANZANIA KWASAIDIA WENYE MAHITAJI MUHIMU

Na Sophia Kingimali. Mkurugenzi wa Furaha Media Dominic Furaha ametoa rai kwa wananchi ambao wanakipato pamoja na viongozi kuwasaidia wahitaji kwani kwa kufanya hivyo ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake za kusaidia wanyonge na wenye uhitaji. Wito huo ameutoa April 27,2024 Jijini Dar es salaam wakati akitoa msaada wa vitu mbalimbali

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AMUAPISHA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI NA VIONGOZI WENGINE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika

John Bukuku By John Bukuku

ASKARI WA TANZANIA KUPATA MAFUNZO NCHINI URUSI.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akipokea zawadi kutoka kwa Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Urusi, Nikolai Patrushev (kulia) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu ushirikiano kati ya nchi ya Tanzania na Urusi katika kubadilishana uzoefu unaohusu masuala ya Ulinzi na Usalama walipokutana kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Maafisa wa Daraja la Juu kutoka

John Bukuku By John Bukuku

TUSIWATENGE WALA KUWANYANYAPAA WATOTO WENYE USONJI – MAJALIWA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya The Green Oysterbay, zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya Watoto wenye tatizo la Usonji, Aprili 28, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifanya mazoezi ya viungo baada ya kushiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya The Green

John Bukuku By John Bukuku

MNEC DKT MABULA AKABIDHI KADI ZA CCM KWA BODA BODA.

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula amekabidhi kadi za CCM kwa wanachama wapya 76 kutoka katika chama cha waendesha pikipiki maarufu boda boda wa wilaya ya Ilemela  Akizungumza katika shughuli hiyo ya kupokea wanachama wapya iliyofanyika katika ukumbi wa Mihama kata ya Kitangiri MNEC Dkt Angeline Mabula

John Bukuku By John Bukuku

ZASP WAHIMIZWA KUTUMIA MTAALA MPYA WA ELIMU.

Mkurugenzi Idara ya elimu ya Maandalizi na Msingi Fatma Mode Ramadhani akizungumza na wanachama wa Jumuiya ya  Skuli binafsi wakati wa uchaguzi mkuu wa Jumuiya hiyo  uliofanyika  Skuli Glorious Academy Mpendae. mmoja wa mmiliki wa skuli binafsi Mohammed Rajab    akitoa changamoto zinazowakabili wakati wa  uchaguzi mkuu wa Jumuiya ya Skuli binafsi uliofanyika Skuli ya Glorious Academy Mpendae Wilaya ya Magharibi

John Bukuku By John Bukuku

MWALIM HAROUN APOKEA TENDE TANI 25 KUTOKA KWA MFALME SALMAN.

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman  Akipokea sadaka ya tende kutoka kwa Balozi wa Saudia Nchini Tanzania iliyotolewa na  taasisi ya misada ya kibinaadamu ya mfalme  Salman wa Saudia Arabia,huko Sheria house Mazizini Mjini Zanzibar. Balozi wa Saudia Nchini Tanzania Yahya Ahmad Okeish Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya sadaka ya tende kutoka

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara