Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UGANDA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 27, 2024 jijini Dar es Salaam amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Uganda uliongozwa na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa nchi hiyo, Mhe. Ruth Nankabirwa Ssentamu kuzungumzia masuala ya nishati kati ya nchi hizo

John Bukuku By John Bukuku

WAWILI WAFA KWA KUANGUKIWA NA UKUTA KIPAWA JIJINI DAR ES SALAAM, WATATU WAJERUHIWA

Mganga Mfawidhi  wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana  Dr. Bryceson Kiwelu ........................  Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana imethibitisha kupokea miili miwili na majeruhi watatu wakiwa ndugu wa familia moja waliofikishwa hospitali hapo baada ya kudondokewa na ukuta wakiwa wamelala. Mganga Mfawidhi  wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana  Dr. Bryceson Kiwelu  amethibitisha kupokea majeruhi na vifo vya watu

John Bukuku By John Bukuku

TANROADS YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA GONGOLAMBOTO JIJINI DAR ES SALAAM

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka; barabara ya Nyerere hadi Gongo la mboto unaendelea huku barabara ya kawaida ikiendelea kupitika hata katika kipindi hiki cha mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali Nchini. Akizungumza wakati alipofanya ziara katika mradi huo Meneja wa miradi ya mabasi yaendayo haraka (BRT-3) iliyopo chini ya Wakala

Alex Sonna By Alex Sonna

KANISA LATOA MSAADA WA MAGODORO 100 LOLEZA SEKONDARI

Kanisa la Assemblies of God la Tanzania (TAG) Jerusalem Temple lililopo Sokomatola jijini Mbeya, limetoa msaada wa magodoro 100 yenye thamani ya TZS Milioni 4.2 kwa Shule ya Sekondari Loleza ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 85 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo. Akipokea msaada huo Aprili 26, 2024 kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Katibu Tawala wa

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA MALIASILI YAONESHA UBABE MASHINDANO YA RIADHA MEI MOSI

Na. John I. BERA - ARUSHA Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuonesha ubabe wake kwenye mbio ambapo kwa upande wa wanaume imeibuka mshindi wa tatu kwenye mbio za mita 3000 na mbio za 1500, mshindi wa tatu kwenye mbio za mita 800 huku ikimaliza mshindi wa tatu kweny mbio za mita 200 katika Mashindano Mei Mosi 2024 yanayoendelea kufanyika

John Bukuku By John Bukuku

DC LULANDALA AWAONGOZA WANA MANYARA MIAKA 60 YA MUUNGANO 

Na Mwandishi wetu, Simanjiro MKUU wa Wilaya ya Simanjiro, Fakii Raphael Lulandala amewaongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Manyara kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. DC Lulandala ambaye amemwakilisha Mkuu wa mkoa huo Queen Cuthbert Sendiga amewaongoza wana Manyara kwenye maadhimisho hayo yaliyofanyika mji mdogo wa Orkesumet. DC Lulandala akizungumza kwenye maadhimisho hayo amesema

John Bukuku By John Bukuku

WALIOCHEPUSHA VYAKULA VYA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI,WAHOJIWA

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji watu 11 akiwemo Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuchepusha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji kwa utaratibu usio rasmi. Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusikitika endapo

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara