Ad imageAd image

Latest news

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MAADHIMISHO YA MEI MOSI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei 2024. Makamu wa Rais amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI GARI MOJA JENERALI MSTAAFU CHELESTINO MSOLA

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 30 Aprili, 2024 amemkabidhi Meja Jenerali Chelestino Elias Msola (Mstaafu), gari jipya la kisasa ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wa utumishi wake kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania na Taifa kwa Ujumla. Waziri Tax amempongeza Jenerali Msola (Mstaafu) kwa Utumishi wake wa uadilifu na

John Bukuku By John Bukuku

JIEPUSHENI NA “MAFATAKI”

Na Issa Mwadangala Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bupigu iliyopo Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wametakiwa kujiepusha na vishawishi vya mafataki wanaotaka kukatisha ndoto ya safari ya masomo yao. Hayo yalisemwa Aprili 30, 2024 na Kaimu Kamanda Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Gallus Hyera alipokuwa akitoa elimu juu ya madhara ya mimba za utotoni na ukatili wa

Alex Sonna By Alex Sonna

REA YAJIPANGA KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI 31,532 VILIVYOSALIA

Na. Mwandishi Wetu Wakala wa Nishati Vijijini (REA); unategemea kusambaza huduma ya umeme kwenye vitongoji 31,532 vilivyobaki nchini ili kuharakisha upatikanaji wa huduma za nishati kwa madhumuni ya kuboresha hali ya maisha ya wananchi wa vijijini. Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy ametoa takwimu hizo leo tarehe 30 Aprili, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akitoa wasilisho kuhusu Mpango wa

John Bukuku By John Bukuku

JESHI LA POLISI SONGWE LAWAASA WANAFUNZI KUJIEPUSHA NA “MAFATAKI”

Na Issa Mwadangala Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bupigu iliyopo Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wametakiwa kujiepusha na vishawishi vya mafataki wanaotaka kukatisha ndoto ya safari ya masomo yao.Hayo yalisemwa Aprili 30, 2024 na Kaimu Kamanda Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Gallus Hyera alipokuwa akitoa elimu juu ya madhara ya mimba za utotoni na ukatili wa kijinsia

John Bukuku By John Bukuku

BOTI YA JKT MV BULOMBORA YAWA YA KISASA BAADA YA KUKWAMA KWA MIAKA 20

MUONEKANO wa Boti ya MV Bulombora iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena, baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini. Na Alex Sonna-KIGOMA MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi

Alex Sonna By Alex Sonna

BASHUNGWA AZITAKA TANROADS NA TARURA KUSHIRIKIANA KUFANYA TATHIMINI YA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akiwa pamoja na Katibu Mkuu Balozi Aisha Amour, na viongozi mbalimbali wakikagua miundombinu ya barabara ya Mwaikibaki (Morocco-Africana), ambayo inatarajiwa kufanyiwa upanuzi kuwa njia nne, Mkoani Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akizungumza na kusikiliza wananchi wakazi wa Mikocheni, wakati akikagua barabara ya Mwaikibaki (Morocco-Africana) ambayo inaenda kufanyiwa upanuzi na kuwa njia nne

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku