Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi na papo hapo kwa kubofya *150*66# ➡️ Kuchangia michango na kukopeshana mikopo ya kikundi kupitia simu zao ➡️ Kuhamisha fedha kwa wanakikundi bila makato yoyote ➡️ Kupata taarifa za kikundi…
Dar es Salaam, 03 Mei 2024 saa 2:00 Usiku: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 mchana wa leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban kilomita 276 kutoka pwani ya Kilwa (Mkoa wa Lindi) na…
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wageni kutoka nchini Sierra Leonne ambao walitembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa pamoja na kujifunza namna ambavyo JKCI imepiga hatua kubwa katika matibabu ya moyo barani Afrika. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali ya Sierra Leonne Dkt. Sartie Mohamed…
NIRC Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeishukuru serikali kwa kuongeza bajeti kiasi cha shilingi bilioni 403 kutoka bilioni 373 kwa aajili utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji nchini. Akizungumza katika viwanja vya bunge jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa amesema serikali kuongeza fedha Tume ya Taifa ya Umwagiliaji itasaidia kufikia malengo ya Taifa ya pato…
* Awahimiza Wachungaji kuwa na Maono Makubwa *Awataka kuhubiri amani na upendo * Awahimiza kumtia moyo Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewashauri wachungaji kuwa na maono makubwa katika kuongoza waumini katika makanisa yao ili kujenga Taifa la watu wenye mwelekeo chanya. Akizungumza leo (Mei 3, 2024) Jijini Dodoma…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Bungeni Jijini Dodoma. Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Bungeni jijini Dodoma, Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjukuu wa Mwanamapinduzi Marehemu Hafidh Suleiman. Lukman Iddi Hafidh Suleiman, alipofika nyumbani kwa marehemu Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2024, kwa ajili ya kumjulia hali kuwasalimia na (kushoto kwa Rais) Mjane wa Marehemu Bi.Mtumwa Hussein Farahan.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na…
Na Mwamvua Mwinyi, Kisarawe Mei 3 KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Mzava, amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kiwanda cha makaa ya mawe, kata ya Visegese wilayani Kisarawe, Mkoani Pwani kabla ya Mei 30 , mwaka huu. Mradi huo ambao ukikamilika utagharimu sh.bilioni 2.4 kati ya…
Confirmed
0
Death
0
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi…
Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya…
Sign in to your account