Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini, Mhandisi Florence Mwakasege (wa pili kutoka kushoto) akikabidhi zawadi ya Luninga pamoja na Friji kwa wafanyakazi bora wenye Mikataba ya kudumu pamoja na wale wa muda maalum katika hafla katika hafla fupi ya kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika leo Mei 1, 2024 katika Hotel ya Lion Jijini…
Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu leo tarehe 1 Mei, 2024 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika kimkoa katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 1 Mei ambapo kwa mwaka huu kitaifa yamefanyika Jijini Arusha na Mgeni Rasmi alikuwa Makamu ya Rais, Mhe. Dkt. Philip…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliaji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliaji katika maeneo mbalimbali, iliyofanyika jijini Dodoma. "Ndugu washiriki nimefurahishwa kuona kuwa asilimia 82 ya wanaokwenda kujenga miradi hii ni…
Na Sophia Kingimali. Mkuu wa Chuo cha Furahika David Msuya ameipongeza Jumuiya ya Wazazi CCM nchini kwa jitihada zao za kupeleka watoto kwenye mradi wa elimu bure unaoendeshwa chuoni hapo huku akitoa rai kwa wazazi kuhakikisha wanapeleka watoto wao kupata elimu ya ujuzi ili waweza kujiajili na kuajiliwa. Wito huo ameutoa leo Mei 1,2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari…
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Makamu wa Rais Philip Mpango amepongeza TUCTA kwa maandalizi mazuri ya meimosi huku akiwataka wafanyakazi hao kusaidiana katika maboresho mbalimbali ya maslahi ya wafanyakazi kwani hatua hiyo utasaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi. "Timu ya serikali iliyopo mkoani Arusha imesikiliza kwa makini risala ya wafanyakazi na tunaahidi kulifanyia kazi "amesema Mpango. Amefafanua kuwa ,kodi ya kima cha…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda kazini na kurudi nyumbani. Amesema shilingi bilioni 34 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya posho ya usafiri kwa watumishi wote…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mei 1 MWENGE wa Uhuru utapitia miradi 28 yenye thamani ya trilioni 8.5 wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambapo umekagua mradi mkubwa wa Kongani ya Viwanda ya SINOTAN, Kata ya Kwala ambao hadi kukamilika utagharimu trilioni 8.4. Aidha umeweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa barabara kutoka barabara ya Morogoro kwenda ofisi za Halmashauri, yenye urefu wa…
Confirmed
0
Death
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za…
Sign in to your account