Ad imageAd image

Latest news

ATOA ELFU TANO KWA RAIS SAMIA.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe, Geophrey Pinda akimpongeza mkazi wa kijiji cha Luchima katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Bw. Aseni Jandikile aliyetoa shilingi elfu tano kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na juhudi zake za kuwaletea

John Bukuku By John Bukuku

WAKAZI LOBO WAWALAUMU VIONGOZI WA KIJIJI NA CCM KUKACHA MKUTANO WA DIWANI WAO.

WAKAZI wa Kijiji cha Loiborsiret Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamewashukia Mwenyekiti wa kijiji hicho  Kimaai Saruni na Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo Aloyce Teme kwa kukacha mkutano wa Diwani wa kata ya Loiborsiret, Ezekiel Lesenga (Maridadi). Wananchi hao wamedai kuwa viongozi hao wamegoma kushiriki mkutano wa Diwani wao wa kusoma taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kuhofia

John Bukuku By John Bukuku

NAIBU WAZIRI PINDA AITAKA TRA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WAFANYABIASHARA KAVUU.

Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu na Wafanyabiashara wa eneo la Majimoto katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi tarehe 3 Mei 2024 Mkuu wa Wilaya ya Mlele Alhaji Majid

John Bukuku By John Bukuku

DRAFCO NI MKOMBOZI WA WANAWAKE, YAMWAGA MSAADA WA TAULO ZA KIKE HOSPITALI YA TEMEKE

Balozi wa bidhaa za taulo za kike za (Baby Cheeky Diaper) mwigizaji Elizabeth Michael maarufu "Lulu"  akionesha namna taulo za watoto za (Baby Cheeky Diaper) zinavyofanya kazi kwa kufyonza maji na mtoto kubaki mkavu kabisa. Balozi wa bidhaa za taulo za kike za (Baby Cheeky Diaper) mwigizaji Elizabeth Michael maarufu "Lulu"  akionesha namna taulo za watoto za (Baby Cheeky Diaper)

John Bukuku By John Bukuku

DKT. TULIA AWAPA DARASA LA KUTULIA WANAHABARI KWENYE MAADHIMISHO YAO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson,anaamua kuwapeleka kwenye darasa jjipya kabisa wanahabari, huku akiwaasa kutulia,kujitafakari na kuongeza umakini katika kazi zao. Anasema pasipo kufanya hivyo,itakuwa vigumu kwao kukabiliana(isomeke kutoboa) na changamoto za kiteknolojia ikiwemo ujio wa akili mnemba(artificial intelligence). Mhadhiri huyo Mwandamizi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambaye sasa ni

John Bukuku By John Bukuku

VITA YA URAIS KATI YA LISSU NA MBOWE YAIPASUA CHADEMA

*Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA * Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 * Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa * Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara Mei 3, 2024 Na Mwandishi Wetu _ Iringa   Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu

Alex Sonna By Alex Sonna

TADB YAWAJENGEA UWEZO WAHITIMU 52 KUONGEZA UFANISI UTOAJI WA MIKOPO SEKTA YA KILIMO.

Kaimu Mkurugenzi na Muendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Dkt. Kanael Nnko akizungumza jambo katika hafla ya kufunga mafunzo ya Wataalam kutoka Benki  washirika kuhusu namna bora kutoa mikopo katika sekta ya kilimo iliyofanyika leo Mei 3, 2024 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliyopo jijini Dar es Salaam. Makamu wa Mkuu wa Chuo Benki

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku