Dar es Salaam, 04 Mei 2024 Saa 5:59 Usiku: Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “HIDAYA” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 01 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa unaonesha kuwa katika kipindi cha masaa 6 yaliyopita, Kimbunga “HIDAYA” kimepoteza kabisa nguvu yake baada ya kuingia nchi kavu…
Na. WAF - Dar RS Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa, ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure) ni kati ya magonjwa Kumi yanayowasumbua Watanzania ambapo amewataka wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula pamoja na kufanya mazoezi. Waziri Ummy amesema hayo leo Mei 4, 2024 baada ya kufanya…
MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA TANZANIA Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 10:00 Jioni: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” katika maeneo ya pwani ya nchi yetu. Mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” unaonesha kuwa mnamo saa 3 asubuhi ya leo, kimbunga hicho kimepoteza nguvu…
Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete akizungumza wakati akifunga mkutano huo mkoani Arusha . Mwenyekiti Mpya wa TAPAHR nchini Grace Meshi akizungumza katika mkutano huo mkoani Arusha . Happy Lazaro, Arusha . Arusha .Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete amewataka Wakuu wa…
Wafanyakazi na wanafunzi wa Taasisi ya DIT kampasi ya Mwanza wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujua kama wanaviashiria vya magonjwa yasiyoambukiza ili wapatiwe matibabu ya mapema.
* Tanzania yapaa kwenye viwango vya kimataifa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha uhuru na demokrasia nchini Mei 4, 2024 Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya Reporters Without…
Mgeni rasmi, Dkt. Mohamed Kodi ambaye ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara (wa kwanza kushoto) akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Hanang wakati wa uzinduzi rasmi wa maeneo maalum ya kunawia mikono yaliyojengwa na Shirika la Amref Tanzania, kupitia ufadhili wa Kituo cha serikali ya Marekani CDC Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya &…
Confirmed
0
Death
0
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya…
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi…
Sign in to your account