Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

KUNDI LINGINE LENYE WANANCHI 564 LAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO.

 Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Zoezi la wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kujiandikisha na kuhama kwa hiari limepamba moto ambapo leo tarehe 28 Aprili, 2024 jumla ya Kaya 105 zenye wananchi 564 na mifugo 1,540 zimehama katika hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera, Simanjiro, Meatu na Monduli. Kwa mujibu wa Meneja mradi wa kuhamisha wananchi wanaojiandikisha kuhama kwa

John Bukuku By John Bukuku

DKT NDUMBARO AFUNGUA MAFUNZO YA URASIMISHAJI WA KAZI ZA WASANII NA UANDISHI WA VITABU MKOANI RUVUMA

Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro kulia,akikabidhi msaada wa Vitabu na vifaa vya kusaidia kusoma kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi St Vicent Sister Agnetha Mlelwa na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo yenye wanafunzi wa mahitaji maalum.  Baadhi ya wasanii wa sanaa  kutoka mkoa wa Ruvuma,wakimsikiliza Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro(hayupo pichani)wakati

John Bukuku By John Bukuku

RAIS DK.MWINYI AWAKABIDHI SIMBA UBINGWA WA MUUNGANO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni zawadi ya ubingwa wa Kombe la Muungano kwa mwaka huu katika uwanja wa New Amaan Complex tarehe 27 Aprili 2024. Timu ya Simba imeifunga goli moja kwa sifuri timu ya Azam. Aidha Mashindano hayo yamerejea tena nchini ikiwa ni

John Bukuku By John Bukuku

RC KUNENGE- APIGILIA MSUMALI SAKATA LA WEMBE NA DKT KAWAMBWA

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amelitaka jeshi la Polisi , kumchukulia hatua za kisheria Hassan Usinga "Wembe" kwa tuhuma za kumdhalilisha aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo na Waziri wa Miundombinu Dk Shukuru Kawambwa ,na kusababisha taharuki kubwa. Kunenge ameyasema hayo wakati wa kikao baina ya Dk Kawambwa na Wembe na baadhi ya

John Bukuku By John Bukuku

RAIS DKT. MOHAMUD: SOMALIA KUSHIRIKIANA NA MSD UNUNUZI BIDHAA ZA AFYA

Rais wa Somalia Mheshimiwa Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za afya na kubadilishana uzoefu wa namna mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya unavyofanya kazi. Rais Mahamud ambaye yuko ziarani nchini Tanzania, ameyasema hayo alipoitembelea MSD, na kuongeza kuwa kutokana na uzoefu wa MSD, wana

John Bukuku By John Bukuku

WAMI RUVU HAWANA DENI LA RAIS SAMIA KATIKA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI.

Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu limeendelea kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha inatekeleza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philipo Isory Mpango la kupanda Miti 2,000,000 kwa Kila Mkoa ikiwa ni mkakati wa uhifadhi wa Mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji katika bwawa la Mindu. Akikagua eneo la Mradi wa Uhifadhi wa

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA SOMALIA MHE.HASSAN SHEIKH MOHAMUD AIPONGEZA JKCI

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa. Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara