Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

BARABARA YA DARAJA LA TANZANITE KUFUNGWA KILA JUMAMOSI ASUBUHI KUPISHA MAZOEZI

Na WAF - Dar Es Salaam Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 3:00 asubuhi kwa ajili ya kupisha mazoezi yatakayo saidia kupunguza magonjwa Yasiyoambukiza. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa maelekezo hayo

John Bukuku By John Bukuku

VIJANA WALISHUKURU SHIRIKA LA PLAN INTERNATIONAL.

Mratibu wa shirika Yes Tanzania linalofadhiliwa na Plan International, Shaban Ramadhan akitoa mafunzo kwa vijana walionufaika na Plan International Vicent Luguye akizungumza mafanikio aliyopata baada ya elimu kutoka Plan International Baadhi ya vijana waliopata elimu ya vyuo vya ufundi na kufadhiliwa na Plan International mabinti wakiwa kwenye kiwanda cha ushonaji                    

John Bukuku By John Bukuku

FGA YATEMBEZA KIPIGO KWA MBEYA CITY GOLI 3-1

Timu ya Mpira wa Miguu FGA ya Songea imeipa kichapo cha goli 3-1 Timu ya Mbeya City katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa leo Aprili 27, 2024 katika uwanja wa Majimaji Songea. Katika mchezo huo wa kukata na shoka kila timu imeonesha ushindani wa kusaka alama tatu za mchezo huo huku timu ya FGA ikiuhitaji zaidi mchezo huo

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU UVCCM NDUGU JOKATE APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI MTWARA

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa Mkoani Mtwara na kuvishwa skafu kama Ishara ya Amani, Upendo na Mshikamano kwa wananchi wa Mtwara tarehe 28 Aprili, 2028. Komredi Jokate Mwegelo ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredi Abdi Mahmoud Abdi.

John Bukuku By John Bukuku

RC CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA UKUMBI WA KANISA LA KKKT TUNDUMA, ASKOFU MALASUSA ASEMA SONGWE WAMEPATA RC MCHAPAKAZI

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel G. Chongolo ameshiriki katika ibada maalumu ya Kanisa la KKKT Jimbo la Tunduma ikiongozwa na Askofu Mkuu wa makanisa ya KKKT Tanzania Dkt. Alex Malasusa iliofanyika katika mji wa Tunduma sambamba na uzinduzi wa ukumbi wa kanisa hilo. Akiongea katika hafla hiyo Chongoloa amesema mkoa wa Songwe ni moja kati ya mikoa mikubwa na

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA MAALUM YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi  mbalimbalia liopwasili kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB, Aprili 28, 2024. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa Kampuni ya utengenezaji  bidhaa za ngozi iitwayo  Fay Fashion , Bw. Geofrey Mlay

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AWAPISHA VIONGOZI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Bibiana Joseph Kileo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI

• Aipongeza OSHA kuboresha utendaji • Asema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini • Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabia nchi Na Mwandishi wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mewataka waajiri kwa kushirikiana na wadau wanaendelea kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza usalama mahala pa kazi na kuwawezesha watumishi kufanya kazi katika

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara