RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh.Farid Hadi Ahmed alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-5-2024,na (kushoto kwa Rais) Ustadh Abdalla Issa na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2024 amekutana na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Taasisi ya Huduma za Aga Khan, Mwana wa Mfalme Bi. Zahra Aga Khan na ujumbe wake, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Mheshimiwa Waziri Mkuu amemwambia Kiongozi huyo kuwa Serikali inatambua jitihada kubwa zinazofanywa na Taasisi hiyo hasa katika sekta ya Afya na Elimu…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kulia), na Kiongozi wa Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Harris Charalambos Tsangarides, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufungua vikao vya majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) waliowasili nchini kwa ajili ya kufanya tathimini…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza akiwa mgeni rasmi kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Aprili 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kuwa mgeni rasmi kilele cha…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo yamefanyika OfisiNI kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.
*Yampongeza Mkurugenzi Mkuu Ndugu Mndolwa, yamtia moyo achape kazi MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, imeipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), kwa kazi kubwa inayoifanya katika kufanikisha Kilimo cha umwagiliaji nchini. Aidha, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa NIRC Raymond Mndolwa kwa kuiongoza vyema Tume hiyo kutekeleza mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita…
Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma . Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan namna anavyothamini sekta ya kilimo na dhamira ya kuwakomboa wakulima kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka Sh.Bilioni 900 hadi Trilioni 1.24.…
Confirmed
0
Death
0
Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya…
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha…
Sign in to your account