Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MAWAZIRI WA AFRIKA KUJADILI VIPAUMBELE VYA AFRIKA IDA 21

Mawaziri kutoka nchi za Afrika wakifuatilia mawasilisho katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) ngazi ya Mawaziri, unaofanyika tarehe 28 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA MAALUM YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi  mbalimbalia liopwasili kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB, Aprili 28, 2024. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa Kampuni ya utengenezaji  bidhaa za ngozi iitwayo  Fay Fashion , Bw. Geofrey Mlay

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AWAPISHA VIONGOZI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Bibiana Joseph Kileo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI

• Aipongeza OSHA kuboresha utendaji • Asema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini • Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabia nchi Na Mwandishi wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mewataka waajiri kwa kushirikiana na wadau wanaendelea kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza usalama mahala pa kazi na kuwawezesha watumishi kufanya kazi katika

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) ngazi ya Mawaziri, unaofanyika tarehe 28 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa

John Bukuku By John Bukuku

DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA SOMALIA IKULU NDOGO MIGOMBANI LEO.28-4-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe.Dkt.Hassan Sheikh Mohamud, na kutowa mkono wa pole kufuatiya kifo cha Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Hassan Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA KUWAPA MAFUNZO YA KIBINGWA WATAALAM WA AFYA SOMALIA

Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu  amesema serikali ya Tanzania itashirikiana na Somaria katika kutoa mafunzo ya ubigwa na ubigwa bobezi kwa wataalamu wa afya wa Somalia kwani nchi imefanya vizuri katika kuboresha huduma za ubigwa na ubigwa bobezi hasa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete(JKCI),Hospital ya Taifa Muhimbili na Taasisi ya Mifupa (MOI)  Amesema nchi ipo vizuri na

John Bukuku By John Bukuku

NGORONGORO YAZINDUA ZOEZI LA UPIGAJI KURA KUWANIA TUZO YA KIVUTIO BORA CHA UTALII BARANI AFRIKA

Na Mwandishi wetu, Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imezindua zoezi la upigaji kura kuwania tuzo ya kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024 katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Jengo la Ngorongoro Jijini Arusha. Akizindua kampeni hiyo ya upigaji kura kaimu kamishna wa Uhifadhi NCAA Victoria Shayo amesema zoezi hilo litachukua siku 131 kuanzia mwezi huu wa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara