- Advertisement -
Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji watu 11 akiwemo Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuchepusha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji kwa utaratibu usio rasmi. Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusikitika endapo…
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Bill Kiwia (wa pili kushoto), katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Dkt. Bill Kiwia (kushoto), akizungumza alipokuwa akitoa wasilisho lake kwa Msajili wa Hazina, Nehemiah…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisoma jarida la Uhuru ya Kijani wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia…
Na Sophia Kingimali. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanafuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea katika kipindi hiki cha mvua huku serikali ikiwa enaendelea kuhakikisha inarejesha miundombinu iliyoharibika. Wito huo ameutoa leo wakati wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.…
Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo la Kobogwa lilipo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo kumetokea shimo kubwa baada ya maji kupita pembezoni mwa Kalvati. Akizungumza na Kipindi cha TANROADS Mkoa kwa Mkoa leo tarehe…
............................. NA MUSSA KHALID Wanamuziki wa Reggae nchini na Maeneo ya Ukanda ndani ya Bara Afrika wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Tuzo za Muziki wa Reggae za KMCC Reggae Music Awards (KRMA III) zinazotarajiwa kufanyika Julai mosi mwaka huu. Akizungumza wakati wa utambulizo wa ujio wa Tuzo hizo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwakilishi kutoka Baraza…
Kaimu Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga bw. Joseph Taban (kulia) akikagua Vihenge vilivyotengenezwa na Vijana walioshiriki mafunzo ya kutengeneza Vihenge yaliyotolewa na SIDO Mkoa wa Shinyanga kupitia Mradi wa Kuzuia Sumukuvu wa TANIPAC ulio chini ya Wizara ya Kilimo Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Jumla ya Vijana 58 kutoka mikoa ya Tabora, Mwanza, Geita na Simiyu…
Confirmed
0
Death
0
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, akizungumza wakati akifunga mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara…
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mheshimiwa Felista Deogratius Njau, Mbunge Viti Maalum aliyetaka kufahamu hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa Taasisi…
Sign in to your account