Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227

*Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria *Wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao *Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu *Amtaka kila mmoja kufuatilia hadhi ya maombi au Leseni zake Dodoma Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla

John Bukuku By John Bukuku

VIJIJI 11,837 VIMEUNGANISHWA NA UMEME – NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, DKT. DOTTO BITEKO BUNGENI LEO

Serikali imesema hadi kufikia Mwezi, Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma ya umeme. Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko Bungeni, leo Tarehe 24 Aprili, 2024, Jijini Dodoma wakati akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara

John Bukuku By John Bukuku

EWURA  YATOA VIBALI SITA KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA GESI ASILIA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko  akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2024/25 leo Aprili 24,2024 bungeni jijini Dodoma. Na.Alex Sonna-DODOMA HADI kufikia Machi 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitoa vibali sita kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya kusambaza gesi asilia viwandani

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MIAKA 60 YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA MABUNGE DUNIANI DKT. TULIA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY TANZANIA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Tine Tonnes Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 24 Aprili, 2024. Pamoja na mambo mengine, Balozi wa Norway amemshukuru Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AWAPONGEZA VODACOM NA LAMATA VILLAGE KWA FILAMU BORA YA “EZRA UKWELI UPE MUDA”

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kalaghe Kilonzo ameipongeza Kampuni ya Vodacom na Kampuni ya Lamata village kwa kuendelea kuinua tasnia ya filamu nchini. Hayo ameyasema Aprili 24,2024 jijini kwenye ukumbi wa  wa Cinemax Mlimani City Dar es salaam wakati akizindua tamthilia ya EZRA na 'Application 'ya Vtv lengo likiwa kusapoti kazi ya sanaa. Amesema sanaa imeendelea kukuwa

John Bukuku By John Bukuku

MAKAMU WA KWANZA AZINDUA KITABU CHA RIPOTI YA HALI YA MAZINGIRA YA PWANI NA BAHARI YETU

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha ripoti ya hali ya Mazingira ya pwani na bahari ya Zanzibar  huko Verde Mtoni Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Kapten Hamad Bakar Hamad akielezea kuhusiana na kitabu cha bahari  ya Zanzibar  katika uzinduzi wa kitabu hicho uliyofanyika

John Bukuku By John Bukuku

‘TAKUKURU RAFIKI’ YASAIDIA KIJIJI KUPATA MALIPO YA MNARA WA MAWASILIANO.

Na. Zillipa Joseph, Katavi. Programu ya TAKUKURU RAFIKI kwa kushirikiana na Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi imefanya mawasiliano na kampuni ya simu ya Tigo na kufanikiwa kuwezesha malipo ya kijiji cha Ibindi kufuatia kuwepo kwa mnara wa mawasiliano katika kijiji hicho. Kwa mujibu wa Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Katavi Faustine Maijo kijiji hicho kilikuwa hakijapokea malipo tangu mwaka 2016

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara