Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa

John Bukuku By John Bukuku

UTEKELEZAJI SERA YA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE, WAJASIRIAMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE

Na WMJJWM, Dar Es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amepokea msaada wa Vyerehani 425 na mashine za kutotolesha vifaranga 250 kwa ajili ya wanawake wajasiriamali nchini. Msaada huo uliotolewa na Serikali ya China, wenye thamani ya Tsh. Mil. 79 umekabidhiwa na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingian katika

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA IDA NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024. IDA

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI BASHUNGWA AWASILI DAR KUKAGUA ATHARI ZA MVUA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humo leo Aprili 29, 2024. Katika Ziara hiyo, Waziri Bashungwa atakagua miundombinu ya barabara, madaraja na maeneo mengine yaliyoathiriwa na mvua pamoja na kukagua hatua zinazoendelea kuchukuliwa na Mamlaka

John Bukuku By John Bukuku

BILIONI 3.8 KUIMARISHA UTOAJI WA HUDUMA HOSPITALI YA MKOA GEITA

Serikali imepeleka vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 3.8 kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo Aprili 29, 2024 Jijini Dodoma wakati akijibu swali Namba 198 kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Josephine Tabitha Chagula aliyeuliza Je,

Alex Sonna By Alex Sonna

RUVUMA KITUO CHA PILI KWA UKUBWA  UZALISHAJI WA MBEGU BORA NCHINI

   Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ahmed Abbas Ahmed akikagua mbegu bora za mazao  zinazozalishwa na  Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kwenye viwanja vya shamba la mbegu Namtumbo katika maadhimisho ya siku ya mkulima yaliyofanyika wilayani Namtumbo. Mashamba ya mbegu eneo la NAFCO wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma,katika msimu  huu  ASA Namtumbo  wanatarajia kuzalisha zaid ya tani 1,275 za mbegu

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA IDA NAIROBI NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku