Ad imageAd image

Latest news

BOTI YA JKT MV BULOMBORA YAWA YA KISASA BAADA YA KUKWAMA KWA MIAKA 20

MUONEKANO wa Boti ya MV Bulombora iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena, baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini. Na Alex Sonna-KIGOMA MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi

Alex Sonna By Alex Sonna

BASHUNGWA AZITAKA TANROADS NA TARURA KUSHIRIKIANA KUFANYA TATHIMINI YA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akiwa pamoja na Katibu Mkuu Balozi Aisha Amour, na viongozi mbalimbali wakikagua miundombinu ya barabara ya Mwaikibaki (Morocco-Africana), ambayo inatarajiwa kufanyiwa upanuzi kuwa njia nne, Mkoani Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akizungumza na kusikiliza wananchi wakazi wa Mikocheni, wakati akikagua barabara ya Mwaikibaki (Morocco-Africana) ambayo inaenda kufanyiwa upanuzi na kuwa njia nne

John Bukuku By John Bukuku

ACHENI KUTOZA USHURU CHINI YA TANI MOJA, NDANI YA HALMASHAURI’ DKT. DUGANGE

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amewaelekeza wataalamu na wasimamizi wa Mageti katika Halmashauri kuacha kutoza Ushuru wakulima wanaosafirisha Mazao chini ya Tani moja ndani ya Halmashauri husika na kufuata utaratibu wa kiwango cha kutozo kisichozidi asilimia tatu ya mazao yaliochini ya Tani moja kwenda

John Bukuku By John Bukuku

WADAU WA BOHARI YA DAWA TANGA WAHIMIZWA KUSIMAMIA BIDHAA ZA AFYA ZIMAZOSAMBAZWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA

Wadau wa afya wa Bohari ya Dawa (MSD) Tanga wamehimizwa kusimamia bidhaa za afya zinazosambazwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya umma mkoani humo, ili zitumike kama inavyohitajika ikiwa ni pamoja na kusimamia takwimu ili kuwezesha kufanya maamuzi sahihi juu ya upatikanaji wa bidhaazaafya. Akifungua kikao cha wadau na wateja wa MSD kanda ya Mtwara, Mkuu wa Wilaya

John Bukuku By John Bukuku

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA WATEMBELEA MAKUYUNI WILDLIFE PARK

Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli katika mkoa wa Arusha kwa lengo la kujifunza Uhifadhi wa wanyamapori na kujionea shughuli za Utalii. Ziara hii ya mafunzo imefanyika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa _"Tuhifadhi Maliasili"_ unaoratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari za

John Bukuku By John Bukuku

EMIRATES ILIVYOJIPANGA KUBORESHA HUDUMA USAFIRI WA ANGA

Na Sophia Kingimali. SHIRIKA la Ndege la Emirates limetangaza mipango yake mipya katika shughuli za kibiashara katika nchi zote ambazo zinahudumiwa na shirika hilo ambazo ni nchi za Afrika, Ulaya, na Asia lengo likiwa kuendelea kukuza huduma ndani ya shirika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari Aprili, 30 na Naibu Rais, na Afisa Mkuu wa Biashara wa

John Bukuku By John Bukuku

KITUO CHA UMEME DEGE CHALETA NEEMA KWA WANANCHI

Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke wakiwa katika Kituo Cha kupokea na Kupoza umeme Cha Dege kilichopo Wilaya ya Kigamboni wakikagua mitando ya kituo hicho baada ya kushirika hafla fupi ya kuadhimisha miaka mitatu ya tangu kuanzishwa kwa kituo hicho iliyofanyika leo Aprili 30, 2024 katika ofisi ya kituo hicho. Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku